Hello funns, usikose kufwatilia show uweze kupata changamoto za pekeee
ambazo zitachangia katika kukupa mawazo mapya ya kujenga na
kuelimisha jamii.
Kama una ishu yoyote ambayo unafikiri unahitaji iwe mada katika ONGEA NA
JANET , usisite kutuma barua pepe katika anuani hii,
ongeanajanetshow@gmail.com
Karibu sana