|
Justin Bieber akila raha katika beach ya Vennice na Yovanna Ventura. |
Wakati Selena Gomez X wa Justin Bieber akiwa amerudiana na
rafiki yake wa zamani na Justin Bieber nae amepata mpenzi mpya anaeitwa Yovanna
Ventura. Justin Bieber mwenye miaka 20 akiwa anajiamini zaidi
amekuwa akila raha na msichana mwenye miaka
18 akiwa ni mwanamitindo wa Kihispania .
|
Yovanna Ventura |
Baada ya kwenda Las Vegas kula upepo
wa bahari ambapo pia ilikuwa ni pamoja na kwenda kushuhudia pambano la mkali wa
ngumi duniani Floyd Mayweather na baadae walielekea California akiwa na
mwanamitindo kutoka Hispania Yovanna
wakila
raha.
Wawili hao walionekana katika
beach inayoitwa Vennice Jumatatu iliyopita, Ingawa Bieber aliandika rafiki
kwenye instagram lakini wazi kabisa inaonyesha kuna kitu kinaendelea kati ya
wawili hawa. Yovanna atamiliza high school Juni mwaka huu katika shule ya Miami
kutokana na Face book anawakilishwa na Elite Model Management.
|
Floyd Mayweather na Justin Bieber in Las Vegas |
|
Yovanna Ventura na Justin Bieber wakiwa Las Vegas. |
|
No comments:
Post a Comment