Alexander Imich akipewa keki yake ya chocolate kusherekea siku yake ya kuzaliwa. |
Alexander Imich ambae amefikisha miaka 111 Februari 4 ndo
siku aliyosherekea siku yake aliyozaliwa hapa akionekana akisherekea siku na
keki ya chocolate akiwa kwenye Apartment za West side huko New York Aprili 30,
2014. Imich alizaliwa nchini Poland mwaka 1903.
No comments:
Post a Comment