Saturday, May 3, 2014

PICHA ZA USIKU WA HISTORIA CONCERT YA LADY JAY DEE

Profesa Jay kwenye stage katika Tamasha la Historia Concert La Lady Jay Dee @ Nyumbani Lounge usiku wa kuamkia leo.
Roma Mkatoliki
Lady Jay Dee a.k.a Comando a.k.a Anaconda
lady Jay Dee kwenye stage
Nando mshiriki aliyeiwakilisha Tanzania katika shindano la Big Brother Afrika mwaka jana (kulia), Niki Mbishi msanii wa hip hop (katikati) na rafiki.
Gadna G. Habash (Wa kwanza kulia) akiwa na marafiki.
Mashabiki wa muziki wa Lady Jay Dee
Niki Mbishi
Nando
Dula kutoka East Africa TV na Radio (kulia) na Nando


No comments:

Post a Comment