Tuesday, May 6, 2014

VIDEO: BABA AJIKUTA MATATANI BAADA YA KUJARIBU KUMZIKA MWANAWE WA WIKI MBILI AKIWA HAI

Jamaa mwenye umri wa miaka 26 katika Wilaya ya Kakamega alinusurika kifo baada ya wakazi waliokuwa wamejawa na jazba kutaka kumwangamiza kwa kujaribu kumzika mtoto wake aliyezaliwa wiki mbili zilizopita. Inasemekana kuwa John Maina alitaka kufanya hivyo baada ya mkewe kutoroka nyumbani kutokana na tofauti za kinyumbani. Angalia video hapo chini......

No comments:

Post a Comment