Mpaka sasa utakuwa umeshaona au umesikia kilichotokea katika
familia ya The Carter Jay Z, pale Solange alipomshambulia Jay Z wakiwa kwenye
lifti baada ya after party ya Met Gala Mei 5. Baada ya video ile kuvuja, kesho
yake Jay na Solange walienda kwenye kucheck wote kikapu. Katika kipindi hicho
yuko mshikaji anajiita Jay Pharoah, mwanadada Maya Rudolph na Sasheer Zamata.
Maya Rudolph ameigiza kama Beyonce na Sasheer Zamata
ameiigiza kama Solange…Check video hapo chini inachekesha sana tena hasa kama unaijua ile
story ya Jay Z kushambuliwa na shemeji yake Solange Knowles.
No comments:
Post a Comment