AZMA ni lengo, dhumuni au nia,hili ni jina lake kabisa la darasani, na
ni jina ambalo alijiita mwenyewe, wazazi wake walimuita AZIMA, akiwa
darasa la tatu, akajibadili na kuanza kujiita AZMA baada ya kuvutiwa na
maana ya jina hilo, na akaanza kuandika AZMA badala ya AZIMA mpaka
kwenye daftari la darasani.
KUWA NA AZMA au kuwa na
nia,ameandika huu wimbo kama dedication kwa watu wote,wanao pambana
kutafuta maisha, Maisha yana vikwazo sana,tunatapaswa kuwa na AZMA(NIA)
ya dhati, katika kufanya jambo lolote, vikwazo ni sehemu ya maisha,
tusikate tamaa, kwa kuwa VIKWAZO(challenges) vipo ili kuonyesha ni kiasi
gani tuko STRONG. Icheck Video
No comments:
Post a Comment