![]() |
MAREHEMU ADAM KUAMBIANA ENZI ZA UHAI WAKE |
Msanii
mahiri wa filam nchini, Adam Kuambiana, amefariki dunia alfajili ya kuamkia leo
wakati akipelekwa kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo
maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam.
Aidha
imeelezwa kuwa marehemu kuambiana, kabla ya kufikwa na umauti alikuwa
akilalamika kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo baada ya kuanguka ghafla
chooni wakati akiwa katika harakati za kurekodi 'Location' katika hoteli ya
Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, jijini Dar.
HOSPITALI ALIYOFIA MSANII ADAM KUAMBIANA
BAADHI YA WASANII WAKIWA WAMEBEBA MWILI WA MAREHEMU KUAMBIANA KUUPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
(Pictures in courtesy of Global Publishers)
No comments:
Post a Comment