![]() |
Marcos Vs Mayweather (Kulia). |
Bingwa wa ndondi duiani kwa sasa Floyd Mayweather ameendeleza kuifanya rekodi yake isivunjwe na kuendelea kuwa nzuri baada ya kumpiga Marcos Maidana huko Los Vegas wikiendi iliyoisha. Mchezo huu ulisubiriwa sana na wapenzi wa ndondi duniani na watu wengi walikuwa wakijiuliza je Marcos ataharibu rekodi ya Mayweather ya kutokupigwa? Kwa sababu pia Marcos ni bondia mzuri duniani anasifika pia anarekodi nzuri ya kushinda mapambano mengi na ni ya mabondia wakali duniani kitu kilichofanya mchezo huo kuwa mkali na kumfanya Mayweather kushinda kwa pointi na sio K.O (Knock Out).
No comments:
Post a Comment