Saturday, May 3, 2014

CUTIE: MTOTO WA MWANAMUZIKI 2FACE NA MKEWE ANNIE IDIBIA ANAITWA OLIVIA

Olivia mtoto wa 2face na Annie Idibia
Huyu ni mtoto wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria 2 FACE na Annie Idibia Olivia ambae alizaliwa tarehe 4 Januari 2014 mtoto huyu amefanana na 2face sana.
Post ya Annie Idibia akisema mtoto wake anakuwa haraka sana na tabasamu lake linamfanya ajisikie vizuri pia hakusahau akasema hawezi kusaidia lakini anawafikiria watoto wadogo wakike waliotekwa na Boko haram akiwaomba wawarudishe watoto hao wadodgo.

No comments:

Post a Comment