Wanawake hao 26 kutoka Italy na maeneo mengine,
wanasema wamekuwa wakishiriki ama wanataka kushiriki katika uhusiano wa
kimapenzi na mapadre na kwamba wametoa ombi hilo kwa niaba ya wanawake wengine
ambao wako katika hali kama hiyo.
Barua hiyo inazungumzia kuhusu uchungu wa
kushindwa kuishi maisha yao kikamilifu mbali na kutaka kukutana na papa
Francis.
Papa Francis amekuwa akiunga mkono
utamaduni wa ujane,lakini mwaka 2010 aliandika akisema kuwa huenda msimamo wake
ukabadilika.
Papa francis amekuwa akimtembelea mjane wa
aliyekuwa kasisi Jeronimo Podesta ambaye alijiuzulu katika utumishi wake na
kuoa, zaidi ya miaka 40 iliyopita.
No comments:
Post a Comment