Thursday, May 1, 2014

JE WAJUA RYAN GIGGS ANA ASILI YA AFRICA


Ryan Giggs

Ryan Giggs alizaliwa huko Cardiff tarehe 29 Novemba 1973 kwa baba mchezaji wa zamani wa rugby Danny Wilson na mama Lynne Giggs, alipewa jina la Ryan Joseph Wilson, baada ya wazazi wake kutengana Ryan alibadili jina la ubini wake na kuitwa Ryan Giggs (jina la ubini wa mama yake) wakati huo akiwa na umri wa miaka 16.




Ryan Giggs akiwa amebebwa na baba yake Danny Wilson
Baba yake Ryan alizaliwa Wales kwa mama mwenye asili ya Wales na baba mwenye asili ya Sierra Leone (Afrika Magharibi).


Lynne Giggs (mama yake Ryan Giggs)

Ryan Giggs kulia na mdogo wake Rhodi enzi za utoto wao

No comments:

Post a Comment