Baada ya kufanya ngoma iliyojulikana kwa jina la "Sio Kiivyo" yenye
maadhi ya riddim, wasanii wawili wakali katika gemu la Bongo Flava, sasa
wanarudi na ngoma nyingine kali inayofahamika kwa jina la "Natesa Nae"
wimbo ambao unategemea kutoka wiki ijayo na kusikika katika radio
stations mbalimbali pamoja kwenye mitandao.
Ngoma hiyo imetengenezwa na mtayarishaji wa mapigo ya muziki
anaefahamika kama Davi_Dizzo ndani ya Legend Studio..Kaa mkao wa kula
isubiri "Natesa Nae" kutoka kwa Joslin akiwa amemshirkisha Stopa The
Rjymecca..Stay Tuned.
No comments:
Post a Comment