![]() |
JAY Z AKIMVALISHA BEYONCE PETE KWENYE MET GALA |
Jay Z na Beyonce ni wapenzi wanaopendeza sana na wanawavutia
watu wengi duniani, kwa hiyo haishangazi kwamba kirahisi walishinda MET GALA na
pozi zuri la kumvalisha pete kwa mara nyingine
the DIVA Beyonce.
Wakati Beyonce alipopoteza pete yake kwenye red
carpet ya MET GALA jana usiku, Jay Z akiwa mume wa Beyonce aliinama na kuiokota pete iliyokuwa imepotea kwenye red carpet ili
amvalishe Beyonce, lakini hakumpa tu aliinama kidogo na kumvalisha kama alivyomvalisha
siku akimuoa, jana akamvalisha kwa mara ya pili. Jay Z alifanya utani kama
akimuomba Beyonce kumvalisha pete na Beyonce alikubali. Ulikuwa ni utani mzuri
sana alioufanya Jay Z kumvalisha pete Beyonce huku akionyesha kuinama kwa
heshima…Funny.
No comments:
Post a Comment